MBUNGE ESTHER MATIKO AIOMBA SERIKALI KUFANYIA KAZI HOJA ZA WABUNGE

Mbunge wa Viti Maalum Kupitia Chadema Mhe. Esther Matiko ametoa maoni yake Baada ya kuhitimishwa kwa Hoja ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya Makadirio ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *