SPIKA DKT. TULIA AONGOZA KIKAO CHA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE JIJINI DODOMA

HABARI KATIKA PICHA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiongoza kikao cha tume ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika leo Aprili 11, 2022 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiongoza kikao cha tume ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika leo Aprili 11, 2022 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu na Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. George Simbachawene (kulia kwake)

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Nenelwa Mwihambi, akiwasilisha taarifa katika kikao cha tume ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika leo Aprili 11, 2022 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu

Wajumbe wa tume ya Utumishi wa Bunge wakiwa katika kikao cha tume hiyo kilichofanyika leo Aprili 11, 2022 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kushoto ni Mbunge wa Mtambwe Mhe. Khalifa Mohamed Issa, Mbunge wa Mlalo, Mhe. Rashid Shangazi na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu na Mbunge wa Kibakwe, Mhe. George Simbachawene

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *