SPIKA DKT. TULIA AKIJIANDAA KWA MASHINDANO YA MARATHONI MBEYA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akifanya mazoezi ya kukimbia katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma leo Aprili 11, 2022 kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya MBEYA TULIA MARATHON yanayotarajiwa kufanyika Jijini Mbeya kuanzia Mei 6 na 7, 2022 yenye lengo ya kuboresha miundombinu ya elimu na afya. (Pembeni yake ni msaidizi wake Bi. Martha Lyafunyile)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *